Bwana Yupo Hapa (Haleluya)
Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Tunakutukuza
[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa
[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa
[Ubeti 1]
Kati ya watu wako u
Uwepo wako dhahiri
Kwa mataifa yote
Enzini watawala
[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa
[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa
[Ubeti wa 2]
Tufanye wenye haki
Tufikishe mwisho
Tuongoze hadi milele
Na Milele tutasemaaaa
[Pambio]
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo hapa
Haleluya!
Haleluya!
Haleluya!
Bwana yupo
Bwana yupo
Bwana yupo hapa