Pokea Sifa Zetu (Ombi)

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Tunakutukuza

Nakupa shukrani zangu. Asante Yesu. Asante Bwana. Asante Bwana wangu. Asante Muumba wangu.
Asante Bwana wangu, Mwokozi wangu, Mungu wangu. Nakuabudu. Nakutukuza. Nakuinua na ninakutukuza.
Wewe pekee yako wastahili kupokea sifa zangu, ninakubariki. Wewe pekee wastahili kupokea sifa zangu, Ninakushukuru. Nakushukuru Bwana. Nakushukuru Bwana.