Ninakuabudu! (Ombi)

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Twakuabudu

“Nakuabudu”
Hayo ni maneno matakatifu yaliyohifadhiwa kwake pekee. yeye pekee yake.
“Nakuabudu”

Ninakuinua, ninakuinua na kukusifu. ni wewe pekee unastahili kupokea ibada yangu. unastahili kupokea sifa zangu.

Ninakuinua, ninakuabudu, ninakubariki! hebu kinyua changu kikusifu, sasa na hata milele. nafsi yangu ikubariki leo na hata milele ee mungu! ni wewe pekee unastahili kupokea sifa zangu,

Hakuna kiumbe hakuna chochote kilichoko, ninasema maneno haya kwake. ninakuabudu! hakuna mwingine, hakuna kilichoko, kataika wakati au umilele, kitakachopokea maneno haya uliohifadhiwa wewe. na wewe pekee ninakuabudu! wewe uishie milele, ninakuabudu. mwenyezi mungu, mfalme mkuu wa mbingu ninakuabudu muumba wangu, mkombozi wangu, mungu wangu. ninakuabudu. ninakuabudu.