Pokea Sifa (Receive Praise)

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: A World Of Worship Vol. 2

[Verse 1]

Jehova nissi, u mkuu
Jehova Nissi, You are great
Bwana wa majeshi ni yesu
Jesus, You are the Lord of Hosts
Simba wa Yuda
Lion of Judah
Mfalme wa Zayuni
King of Zion
Tunakuabudu hakuna kama wewe
We worship You, there is none like You
Tunakuabudu bwana
We worship You our Lord

[Chorus]

Pokea sifa na utukufu
Receive all the praise and glory
Hakuna kama wewe
There is no one like You
Bwana wa mabwana
Lord of Lords
Mataifa yote yakuinamia
All the nations bow before You
Mfalme wa wafalme
King of Kings
Tunakuinua
We lift You up our God