Furaha

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Joy: Global Edition

[UBETI 1]

Furaha, yako mwangaza kwangu.
Furaha, yako yakamilisha
Furaha, yafukuza Giza
Kushika njia zako
Furaha

[PAMBIO]

Uwepo wako ni furaha tele
Nashukuru- Asante Milele
Imba sifa- U maisha yangu
Nguvuuuu, furaha
Yangu

[UBETI 2]

Furaha, yarahisisha mzigo
Furaha, nguvu yangu vitani,
Furaha, nguvu ya utiifu
Kushika njia Zako
Furaha

[PAMBIO]

Uwepo wako ni furaha tele
Nashukuru- Asante Milele
Imba sifa- U maisha yangu
Nguvuuuu, furaha
Yangu

[UBETI 3]

Furaha, huniuwisha nafsi
Furaha, penda ulimwengu wetu
Furaha, kuelekea kwako
Kushika njia Zako
Furaha

[PAMBIO]

Uwepo wako ni furaha tele
Nashukuru- Asante Milele
Imba sifa- U maisha yangu
Nguvuuuu, furaha
Yangu
Furaha…..