Amen!
Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Tunakutukuza
[Pambio]
Amen! Sasa iwe
Amen! Twaamuru
Ufalme wako uje
Utakalo lifanyike
Sasa na milele Amen!
[Pambio]
Amen! Sasa iwe
Amen! Twaamuru
Ufalme wako uje
Utakalo lifanyike
Sasa na milele Amen!
[UBETI]
We’ u Mungu muumba vyote
Yote kwa amri yako
Yahukumu mataifa
Wenye haki wasimame
[Pambio]
Amen! Sasa iwe
Amen! Twaamuru
Ufalme wako uje
Utakalo lifanyike
Sasa na milele Amen!
[Pambio]
Amen! Sasa iwe
Amen! Twaamuru
Ufalme wako uje
Utakalo lifanyike
Sasa na milele Amen!
[UBETI WA 2]
Tuma neno kwa mataifa
Wateule wasikie
Uunganisha , watakatifu
‘Utukufu wako u wazi
[Pambio]
Amen! Sasa iwe
Amen! Twaamuru
Ufalme wako uje
Utakalo lifanyike
Sasa na milele Amen!
[Pambio]
Amen! Sasa iwe
Amen! Twaamuru
Ufalme wako uje
Utakalo lifanyike
Ufalme wako uje
Utakalo lifanyike
Sasa na milele Amen!