Twatukuza Jina Lako

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Tunakutukuza

[Pambio ya 1]
Twatukuza Jina Lako
Twatukuza Jina Lako
Twakupa Utukufu, heshima
Ibada na sifa
Tukuza jina lako

[Pambio ya 2]
Kwa umoja enzini pako
Twakuinua, twakutukuza
Mungu Mkuu Mfalme
watawala Milele
tukuza jina lako

[Pambio ya 1]
Twatukuza Jina Lako
Twatukuza Jina Lako
Twakupa Utukufu, heshima
Ibada na sifa
Tukuza jina lako

[Pambio ya 2]
Kwa Umoja enzini pako
Twakuinua, twakutukuza
Mungu Mkuu Mfalme
watawala Milele
tukuza jina lako

[Kumalizia]
Mungu Mkuu na Mfalme
Watawala Milele
Tukuza jina lako