Kaa Nasi

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Twakuabudu

[Ubeti]
Kwa roho wako tumekuwa,
Na safari katutia nguvu
Tupulizie mara tena,
Tushukie kaa nasi

[Pambio]
Ewe roho wa hekima,
Maarifa na nguvu
Aliye juu ya kristo,
Wa ushauri na ufahamu,
Na hofu ya mungu impendezayo, kaa nasi

[Daraja]
Funua nia yako,tujaze ujuzi
Uwezo wa kujenga, yalo moyoni.
Tusongeapo maisha makuu yajayo
Mbegu yako ndani yetu….. Bwana