Mtakatifu

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Twakuabudu

[Pambio]
Mtaka- tifu
Mtakatifu ni bwana x2

[Ubeti wa 1]
Bwana twasimama mbele zako
Waloundwa kwa nguvu zako
Mikono twainua, kwa atawalaye
Daima milele……………

[Ubeti wa 2]
Umetia mbegu yako ndani yetu
Tutailinda tuitunze vyema
Kweli hofu yako ndani yetu
Daima milele…………….

[Ombi]
Ninakubariki, ninabariki tabia yako takatifu, ninabariki jina lako takatifu, ninainua sauti yangu duniani na ninakubariki, nakubariki kwa wakati kuelekea umilele ninainua sauti yangu katika hali ya mauti, na ninainua uwepo wako wa milele,ninabariki wema wako, ninakubariki.

Ee bwana nafsi yangu na kila kitu kilichoko ndani yangu kibariki jina lake takatifu