Nakuabudu

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Twakuabudu

[Pambio]
“Nakuabudu”
Ibada hii ni yako
Na yote nifanyayo,
Kwa moyo wote
Nakuabudu.

[Ubeti wa 1]
Kwako pekee, nainua mikono
Kwako pekee, napaza sauti
Kwako pekee, nakupa moyo wote
Najitoa, nakuabudu.

[Ubeti wa 2]
Watawala kwa nguvu na uwezo
We ubwana, uliye enzini
Watembea kwa nguvu zako kuu
Kwa heshima, nakuabudu