Tutume (Ombi)

Artist: Congress MusicFactory
Produced By: Congress MusicFactory
Album: Twakuabudu

Wewe ni sabato yangu. Wewe ni pumziko langu. Wewe ndie mwisho wa safari yangu. Kwa hivyo, tupe nguvu zako na uwezo wako na yote tunayouliza sasa ni kwamba ututume. Tutume. Tutume. Sio siku ya kupumzika. Tutume. Ni msimu wa kasi. Tutume mungu. Yote tunayouliza ni kwamba ututume. Hatuitishi kupumzika kwa sababu pumziko litakuja utakapo fika. Yote tunayolilia, tutume tufanye mapenzi yako.

Tutume kwa njia mpya. Tutume kama kundi moja. Tutume kama watu waliosawazishwa. Tutume kama wanaoandaa siku zijazo. Tutume na nuru na ufahamu, ujuzi na nguvu. Tutume kwa usahihi. Tutume kwa utakatifu na utakaso.

Tutume kwa ukosefu wa dhambi na kutopotoka. Tutume tukiwa watakatifu na wasafi. Ooh, tutume. Ututume katika nguvu zako dhabiti katika siku zijazo.

Andaa moyo wa kila mume na mke mahali hapa. Jaza mioyo yetu kwa amani. Tutume kwa furaha. Hebu kazi yako iwe ya kuridhisha, iwe ya kutosheleza. Hebu kazi yako kuu ilete utoshelevu katika maisha yetu na tukitaka zaidi kutoka kwako. Hii ndio maombi yetu. Hiki ndicho kilio cha mioyo yetu. Hayo ni mambo muhimu tunayoleta kwako.

Sikia sauti ya maombi yetu. Sikia sauti ya watu wako, kadri ya mapenzi yako tukifuata mtindo wa bwana wetu. Asante mungu. Asante mungu. Asante mungu. Asante yesu.