Twakuabudu

Tuna furaha kushiriki nanyi maombi haya na nyimbo hizi za kuabudu kutoka kwa Dkt. Noel Woodroffe na Kiwanda chetu cha Muziki cha Congress. “Twakuabudu” inadhihilisha moyo wa ibada yetu ya ushirika, heshima na shukrani kwa Mungu.

Waimbaji, kwaya, waandishi wa nyimbo na wanamuziki katikaalbamu hii wanaonyesha uzuri wa Mwili wa Bwana wetu Yesu Kristo. Wote hawa,wametoka duniani kote-Caribbean, United States(Marekani), Europe(Uropa), Afrika, Asia, Latin America (Amerika ya Kusini) na Pacific -ili kushirikiana na kuunda raslimali hii ambayo sasa tunashiriki na makanisa na waumini ulimwenguni kote.

Name Lyrics Lead Sheet
Ninakuabudu! (Ombi) Lyrics
Nakuabudu Lyrics Lead Sheet
Kaa Nasi (Ombi) Lyrics
Kaa Nasi Lyrics Lead Sheet
Twasifu Jina Lako (Ombi) Lyrics
Twasifu Jina Lako Lyrics Lead Sheet
Nainua Mikono Yangu Kwako (Ombi) Lyrics
Mtakatifu Lyrics Lead Sheet
Njia Hii (Ombi) Lyrics
Njia Hii Lyrics Lead Sheet
Tutume (Ombi) Lyrics
Daima Na Kuinua Lyrics Lead Sheet
Tunakuabudu Lyrics
Name Lyrics Lead
Sheet
Ninakuabudu!
(Ombi)
Lyrics
Nakuabudu Lyrics Lead
Sheet
Kaa Nasi
(Ombi)
Lyrics
Kaa Nasi Lyrics Lead
Sheet
Twasifu Jina
Lako (Ombi)
Lyrics
Twasifu Jina
Lako
Lyrics Lead
Sheet
Nainua
Mikono
Yangu
Kwako
(Ombi)
Lyrics
Mtakatifu Lyrics Lead
Sheet
Njia Hii
(Ombi)
Lyrics
Njia Hii Lyrics Lead
Sheet
Tutume
(Ombi)
Lyrics
Daima
Na Kuinua
Lyrics Lead
Sheet
Tunakuabudu Lyrics